TEN/MET Newsletter Volume 6
Please download and read more on Camfed’s Learner Guide program, Someni kwa Furaha Project by Mzeituni Foundation and many more. To download the full newsletter in PDF format please visit here
Please download and read more on Camfed’s Learner Guide program, Someni kwa Furaha Project by Mzeituni Foundation and many more. To download the full newsletter in PDF format please visit here
Maadhimisho ya Juma la Elimu (Global Action Week for Education (GAWE) 2022 Mkoa wa Tabora-Wilaya ya Igunga Kauli Mbiu: Tuwekeze katika Elimu, kwa Elimu Bora (Financing Education for Improved Learning Outcomes) Utangulizi TEN/MET ni mtandao wa kitaifa wa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayojishughulisha na elimu hapa nchini yenye wanachama nchi nzima wapatao 158. Kwa miaka…
UTANGULIZI;Mojawapo ya changamoto katika kupambana na ukatili wa kijinsia na Ukatili dhidi ya watoto ni kuchelewa kwa taarifa ambazo jamii inazifahamu.Wataalamu Wa Wizara za Kisekta wameendelea kutoa mchango wao kwa kutoa namba za simu ili Jamii ipate wepesi zaidi wakutoa taarifa sambambana kutumia namba y akitaifa ya 116 ya CSEMA inayotoa huduma bila malipo saa 24 kila siku.Namba hizi…
A Word from the National Coordinator This fiscal year 2020/21 has been another exciting year as we fulfilled our mandate. We strived to work as a team and endeavored to reach out to our members, communities and engage with policymakers to contribute towards improving access to equitable quality education that is inclusive. Like the previous…
To Members and Stakeholders Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) is a national network of 158 members, working in the education sector in Tanzania mainland since its inception in 1999. TEN/MET envisions a national educational system through which every Tanzanian child has the opportunity to engage in quality education. The vision is enriched through…
Kupitia waraka huu, Serikali inatoa fursa kwa wanafunzi wanaoacha shule kutokana na sababu mbalimbali kurejea katika mfumo rasmi wa elimu. Fursa hiyo itajumuisha wanafunzi wanaokatiza masomo kutokana na ujauzito ambapo wataruhusiwa kukamilisha mzunguko wa elimu yao katika mfumo rasmi. Tafadhali pakua waraka huo kupitia hapa
I am so delighted to present to you our special edition of the newsletter. This is the first of our many electronic editions that will follow after a long pause since our last edition was out back in 2019. My expectation is to see all of our upcoming newsletters featuring more stories of change from…
Kikwete – who was honoured by Theirworld for his outstanding contribution to global education – succeeds Julia Gillard as Chair of the GPE. FORMER President Jakaya Kikwete has taken over as leader of the Global Partnership for Education, which has helped millions of the world’s most vulnerable and marginalised children into school. It works with…
TEN/MET imefanikiwa kufanya utafiti ili kubaini ufanisi, changamoto na uwezo wa vituo vya elimu kwa njia mbadala (alternative education pathways) vinavyoweza kumuandaa na kumsaidia mtoto wa kike aliyelazimika kuacha shule kwa sababu ya ujauzito ili kuweza kutimiza ndoto zake kimaisha. Kulingana na utafiti huu, tumefahamishwa kuwa; Vituo vingi vinavyotoa elimu kwa njia mbadala vinapatikana maeneo…
Maadhimisho ya Juma la elimu (GAWE) ni tukio la alama kwa mashirika yasiyokuwa ya kiselikali (CSOs) yanayojushughulisha na elimu. Maadhimisho haya yalianza mara baada ya Mkutano Mkuu wa pili wa kiulimwengu ambao ulifanyika Dakar Senegal mwaka 2000. Kila nchi hufanya maadhimisho hayo katika wiki iliyopangwa na Global Campaign for Education (GCE). Ujumbe/Kauli Mbiu inayotolewa kila…