TAMKO LA JUKWAA LA ELIMU KWA MTOTO WA KIKE KUHUSU KAULI YA MH. HALIMA DENDEGO MKUU WA MKOA WA SINGIDA.
TAMKO LA JUKWAA LA ELIMU KWA MTOTO WA KIKE KUHUSU KAULI YA MH. HALIMA DENDEGO MKUU WA MKOA WA SINGIDA. Utangulizi Elimu ni haki ya kila mtoto nchini Tanzania, ni nguzo ya kupambana na umaskini, na ni nyenzo ya kuwawezesha watoto kufikia ndoto, kubadili fikra na kutatua changamoto zao na jamii. Serikali na wadau mbalimbali…