Tamko Dhidi ya Udhalilishaji wa Watoto
Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) ni mtandao unaoundwa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yapatayo 181 yanayojishughulisha na elimu Tanzania bara. Mtandao wa elimu unasikitishwa na kuendelea kwa vitendo visivyo vya kimaadili vya kuwarekodi wanafunzi na kisha kusambaza kwenye mitandao ya kijamii. Hayo hutokea katika hatua za kujifunza na walimu au wahusika hutumia udhaifu wa wanafunzi…