KUKABILI NA KUTOKOMEZA UKATILI WA WATOTO TANZANIA
Wito unatolewa kwa jamii nzima kukabili na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto nchini. Kila Mtanzania, mzazi/mlezi, mwalimu na jamii nzima kwa ujumla wetu tunawajibu wa kukemea vitendo na viashiria vya ukatili dhidi ya watoto katika eneo na mazingira mahalia. Bila kujali nafasi zetu, jamii nzima tunao wajibu wa kuchukua hatua sitahiki inapotokea vitendo vya…