Siku ya Mtoto wa Afrika: Haki za Mtoto – Tulipotoka, Tulipo na Tuendapo
Mtoto wa Afrika_2025_TENMET
Mtoto wa Afrika_2025_TENMET
Wito unatolewa kwa jamii nzima kukabili na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto nchini. Kila Mtanzania, mzazi/mlezi, mwalimu na jamii nzima kwa ujumla wetu tunawajibu wa kukemea vitendo na viashiria vya ukatili dhidi ya watoto katika eneo na mazingira mahalia. Bila kujali nafasi zetu, jamii nzima tunao wajibu wa kuchukua hatua sitahiki inapotokea vitendo vya…
As the world commemorates the day of the girl child on 11th October this year, TEN/MET joins hands with the global community to reflect on the progress made in ensuring there is considerable investment and awareness that enhance the girl child’s right to equitable, inclusive quality education. In this regard we call upon all stakeholders…