Education

Waraka wa Elimu Na. 2 wa Mwaka 2021 kuhusu urejeshwaji shuleni wa wanafunzi waliokatiza masomo katika elimu ya msingi na sekondari kutokana na sababu mbalimbali

Kupitia waraka huu, Serikali inatoa fursa kwa wanafunzi wanaoacha shule kutokana na sababu mbalimbali kurejea katika mfumo rasmi wa elimu. Fursa hiyo itajumuisha wanafunzi wanaokatiza masomo kutokana na ujauzito ambapo wataruhusiwa kukamilisha mzunguko wa elimu yao katika mfumo rasmi. Tafadhali pakua waraka huo kupitia hapa  

READ MORE

Annual General Meeting(AGM)

TANZANIA EDUCATION NETWORK/MTANDAO WA ELIMU TANZANIA(TEN/MET) ILANI YA MKUTANO MKUU WA MWAKA ILANI INATOLEWA kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania   utafanyika katika Hoteli ya Gentle Hill Hotel, iliyopo Iringa siku ya Jumatano tarehe 24 Novemba 2021, mnano saa tatu asubuhi (3:00) kwa madhumuni yafuatayo: Tafadhali pakua

READ MORE
Newsletters

Newsletter Special Edition June 2021

I am so delighted to present to you our special edition of the newsletter. This is the first of our many electronic editions that will follow after a long pause since our last edition was out back in 2019. My expectation is to see all of our upcoming newsletters featuring more stories of change from…

READ MORE
News

We cannot fail millions of children who need better education-JK

Kikwete – who was honoured by Theirworld for his outstanding contribution to global education – succeeds Julia Gillard as Chair of the GPE. FORMER President Jakaya Kikwete has taken over as leader of the Global Partnership for Education, which has helped millions of the world’s most vulnerable and marginalised children into school. It works with…

READ MORE
News

ELIMU KWA MTOTO WA KIKE NA NAFASI YA KURUDI SHULENI BAADA YA KUJIFUNGUA

TEN/MET imefanikiwa kufanya utafiti ili kubaini ufanisi, changamoto na uwezo wa vituo vya elimu kwa njia mbadala (alternative education pathways) vinavyoweza kumuandaa na kumsaidia mtoto wa kike aliyelazimika kuacha shule kwa sababu ya ujauzito ili kuweza kutimiza ndoto zake kimaisha. Kulingana na utafiti huu, tumefahamishwa kuwa; Vituo vingi vinavyotoa elimu kwa njia mbadala vinapatikana maeneo…

READ MORE

Girls’ Education National Caucus

TEN/MET intends to form girls education national caucus group with the overall objective of having a collective voice to advocate for the provision of education to teen mothers and girls. Other objectives are ; 1. Promoting awareness and generating understanding on girls education and discuss existing challenges so collectively to chart a way forward 2.…

READ MORE

Global Action Week for Education (GAWE), 31 May -4th June, 2021

Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) in collaboration with other education stakeholders will join the World to mark Global Action Week for Education (GAWE) in collaboration with Mara Region, Rorya District Council officials in particular. The week is planned to be marked at the national level from 31st May to 4th June 2021. This…

READ MORE
News

Juma la Elimu, 31 Mei – 4 Juni, 2021, Rorya, Mara

Maadhimisho ya Juma la elimu (GAWE) ni tukio la alama kwa mashirika yasiyokuwa ya kiselikali (CSOs) yanayojushughulisha na elimu. Maadhimisho haya yalianza mara baada ya Mkutano Mkuu wa pili wa kiulimwengu ambao ulifanyika Dakar Senegal mwaka 2000. Kila nchi hufanya maadhimisho hayo katika wiki iliyopangwa na Global Campaign for Education (GCE). Ujumbe/Kauli Mbiu inayotolewa kila…

READ MORE