Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) akiongea na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kufanyika kwa mkutano wa kimataifa wa ubora wa elimu, utakaonza tarehe 18 hadi 20, mwezi wa Mei, mwaka huu.

Tafadhali pakua taarifa kamili kutoka hapa.