Kwa muda mrefu kumekuwa na matukio mablimbali ya athari ya viboko kwa wanafunzi mashuleni kama vile kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu hadi vifo. Mtandao wa Elimu Tanzania unasikitishwa sana na matukio kama hayo hususani kifo cha mwanafunzi Sperius Eradius wa Shule ya Msingi Kibeta, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kinachosemekana kutokana na adhabu ya viboko…