TAARIFA KWA UMMA
UTANGULIZI Tanzania Education Network/ Mtandao wa Elimu Tanzania ni mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali zaidi ya miambili na kumi (210) yanayo fanya kazi Tanzania bara katika kanda kuu nane. Lengo la mtandao ni kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimumsingi(basic education) iliyo bora. Kupitia wanachama tunaendelea kushirikiana na serikali…