Asilimia 90 ya wanafunzi walalamikia viboko mashuleni
Na Elias Msuya, 25 Februari 2021, Gazeti la Mwananchi Dar es Salaam. Utafiti wa ukatili kwa wanafunzi ulitotelewa na taasisi ya Haki Elimu umeonesha asilima 87.9 ya wanafunzi wamepata unyanyasaji, ambapo asilimia 90 wasemesema walichapwa viboko. Akitoa matokeao ya utafiti huo jana Februari 24 Dar es Salaam, mtafiti kiongozi ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo…